Naweza kumuoa Mama yako?

CORAL

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
2,789
1,782
Mtoto: Baba mimi naweza kumuoa Mama yako?
Baba: Hapana mwanangu, hilo haliwezekani kabisa!
Mtoto: Aaaa.. Baba.., mbona wewe ulimuoa Mama yangu?
Baba: Ebu toka hapa nenda kacheze maswali gani hayo? Pumbavu!
 
Angemwambia tu ndio ili kupunguza maswali, watoto saa nginyine wanaboa wanakuuliza swali la siri kwenye kadamnasi
 
Back
Top Bottom