Naweza kumuoa huyu?

Naweza kumuoa huyu?

mkuu unatuabisha mainjinia unashindwaje kutambua hatari ya kugonga mke wa mtu.

Mkuu ukimuona huyo mwanamke hata wew utamtamani... uinginia wote uliniishia nikawa natamani ivunjike hiyo ndoa nibebe tu maana hakuna namna kwa vile alininyanganya ila sasa nimefkria kuwa hata nikimchukua atafanya the same
 
kumbe na nyie engineers huwa mnadatishwa na totoz...me nilijua ni sisi ngwini tu ndo tunahangaika na mapenz
 
Huyo mwanamke kakugeuza wewe zombie wake......

Ila jua cha mtu mavi...ngoja mumewe ajue wewe ndio chanzo cha ndoa yake kuvunjika...(ingawa unasema mwanaume hajajitambulisha)

Anyway kama anakupenda sana angehamia kwa mwingine???

Hivi inapokuja swala la mapenzi akili zinawekwa (ga) mfukoni eeeh???

Wewe ni nani?
 
Kaka nimeshafanya kuifuta namba yake kwa mufa kama wa wiki lakin alivonitafuta yaan nikawa nimeshasahau kila kitu... inanisikitisha sana kwa nin sina maamuz juu ya hili hata kama nampenda why nikimfikria nasahau ujinga ninaoufanya dah very sad aiseee!

Hiyo inatokea na ndio imetokea kwako
 
Naona hata ukihamishwa kwenda bukoba bado utaendelea kutoka na mke wa mtu ambaye alikuwa mchumba wako hapo awali.
 
Hivi bado wapo watu wanatafuta "USED"?? Mpaka unafikia mahali pa kuwa ----- na mke wa mtu?? Mwenye mke akikufumania na used wake utatoa sababu gani?? Kwani hujui kuna wakati umpendaye hakupendi? Huyo hakupendi ila anatafuta kulipiza kisasi cha yale ulio mtenda weye. Anatamani siku moja mfumaniwe aone jinsi utakavyolia mbele ya macho yake huyo. Tena mahali penyewe Dar. ?? Watu wapo tayari kununua kesi ka hizo ili wakutende tuuu.
Kweli wenye akili mgando ni wengi sana. Kimbia zinaaaaaaa ni neno la Mungu linatuonya.
 
Mkuu niwie radhi kwa situation iliyopo hata wew ungefanya vilevile

mkuu ningefanyeje??
Yaan nianze kufikiria kumuoa mwanamke aliyenisaliti na ameshaolewa na amezalishwa kabisa?
Labda kama nina matatzo ya akili sawa
 
Katika maisha kuna mambo ambayo unatakiwa ukubaliane nayo kuwa hujafanikiwa kuyapata...mojawapo ni hili ambalo lakuamini kila uliyeanza nae mahusiano lazima uoane nae wakat yeye hakutaka hali hiyo....
Yeye kuzunguka sana na hatimaye kukupotezea akaenda olewa na kisha sasa ni mke wa mtu tena mwenye mtoto wa mtu huwezi msingizia shetan hapo na wewe ukikubali shetan kusingiziwa UTAKUWA NI MPUMBAVU....
Kuna nyakati ambazo MUNGU hukuepusha na hatari lakini kwa kiburi cha wanadamu hufuata madhara hayo,ninaona maumivu ya moyo unayoenda kuyapata na hata ya kimwili ikiwa utasimamisha shingo yako nakuendelea na MKE WA MTU.....majuzi kuna jamaa aliliwa watsap kwa kutembea na mke wa mtu katika mazingira kama haya unayoyahadithia,jamaa alijiua mchana kweupe kwa aibu aliyoipata..mke wa mtu ni sumu na maziwa yake nikuachana na mke wa mtu...
Ukitaka kujua kuwa huyo mwanamke ni mtu asiyejali maumivu ya mtu mwingine muambie na wewe unataka utafute mwanamke mwingine kisha uzae nae halafu ndo mje kuoana nae uone kama atakubali...
Lakini niseme kuwa MUACHE KIBURI ale malipo yake hayo ndo maisha aliyochagua...
 
Unatafuta kiki ushuzi......

Usiniletee stress za maisha yako kutaka kujifanya unanijua.....

Hapa umechemsha.........

"Hakuna asiyekujua hapa jf"

Really? Kichwa chako kinahitaji tiba...

Goodnight

Hakuna asiyekujua hapa JF ,na hata matatizo yanayokukabili my Dia
Waulize wakwambie
 
we ina maana wanawake wote wamwkwisha mpaka huyo huyo tu.....
 
Katika maisha kuna mambo ambayo unatakiwa ukubaliane nayo kuwa hujafanikiwa kuyapata...mojawapo ni hili ambalo lakuamini kila uliyeanza nae mahusiano lazima uoane nae wakat yeye hakutaka hali hiyo....
Yeye kuzunguka sana na hatimaye kukupotezea akaenda olewa na kisha sasa ni mke wa mtu tena mwenye mtoto wa mtu huwezi msingizia shetan hapo na wewe ukikubali shetan kusingiziwa UTAKUWA NI MPUMBAVU....
Kuna nyakati ambazo MUNGU hukuepusha na hatari lakini kwa kiburi cha wanadamu hufuata madhara hayo,ninaona maumivu ya moyo unayoenda kuyapata na hata ya kimwili ikiwa utasimamisha shingo yako nakuendelea na MKE WA MTU.....majuzi kuna jamaa aliliwa watsap kwa kutembea na mke wa mtu katika mazingira kama haya unayoyahadithia,jamaa alijiua mchana kweupe kwa aibu aliyoipata..mke wa mtu ni sumu na maziwa yake nikuachana na mke wa mtu...
Ukitaka kujua kuwa huyo mwanamke ni mtu asiyejali maumivu ya mtu mwingine muambie na wewe unataka utafute mwanamke mwingine kisha uzae nae halafu ndo mje kuoana nae uone kama atakubali...
Lakini niseme kuwa MUACHE KIBURI ale malipo yake hayo ndo maisha aliyochagua...

Ahsante sana brother hizi experience ndio nilikuwa nazitaka... kuna kipindi alikuja nyumbani akachukua simu yangu lakn akakuta kuna mesej za mpenz wangu mwingine ambaye kiujumla simpend kivile na ofcourse yuko mbali akawa amekasirika sana akawa kachukuwa zile namba baadae yule msichana akanipigia anasema kamtukana sana, nikamuulza kwa nin umemtukana mtoto wa watu akasema eti mim siwez kuwa namcheat huku anaona na akatamka waz kwamba atamfamya vibaya huyo msichana sasa cha ajabu nikimwambia lkn wew . si mke wa mtu anasema "nani alikuambia mim nimeolewa" yaani ilikuwa inasikitisha mpaka sasa alikuwa ana uwezo wa kunipigia cm usiku sasa sijui ana madawa yaan dah kaz ninayo.
 
we ina maana wanawake wote wamwkwisha mpaka huyo huyo tu.....

kaka wew wasema... ivi mtu anakutamkia "mm nazuga tu pale simpendi na kwanza huwa silali nae" na anakuonyesha meseji za mume wake akililia apewe mambo walau siku moja kwa wik na anakataliwa si utaamini$!? halafu anapewa sheria ya kutumia kondomu bila kondomu hapati na wew unatumia unavyotaka mtoto anajishughulisha zaidi ya uwezo wake si utapagawa? hiv vitu anko ni vya kuacha tu... ila ninakushukuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom