Naweza kumuoa huyu?

Naweza kumuoa huyu?

pole ngosha navuta hisia unavyoandika na ile lafudhi yenu.
 
Utaliwa monday mjomba usirudie kusoma kitabu ulicho kwisha kukisoma wakati unaujua mwisho wake utaja jutia uamuzi wako.
 
Jamani ndio maana mm nasemaga siku hizi hakuna WANAUME kuna WAVULANA.Mtu mpaka akubali kumbebea mtu mimba amewaza sana sasa ww sijui unangangania nn hapo ACHANA NA WAKE ZA WATU WW KIJANA,KUWA MWANAUME ACHA UJINGA,ww ungekuwa kama mm ungefurahi sana yaani mm NIKIACHA NIMEACHA,tena siku hizi wanawake wapo wengi wazuuuri acha kukomaa na huyo mzazi aiseee.......samahani lakini nimeandika kwa hasira sana sababu sitaki kuLET DOWN UANAUME......sisi ndio wanaume bwana
 
mwambie ukweli na kuwa na msimamo, mwambie hali halisi kabla matatizo hayajakukuta wewe na nikushauri tu kuwa kama unakaa nyumba ya kupanga basi ama kimya kimya ili aaikupate tena na kama ukiweza mblock mawasiliano yake au badili kabisa no zako za simu maana hatari iliyopo mbele yake ni kubwa sana na hata ikiwezekana omba uamisho wa kikazi uende mkoani yaani fanya kila juhudi teketeza mawasiliano na huyo mwanamke, kwa yeye huyo mwanamke hawezi akakoma kuja kwako yaani hata umuelimishe vipi hatosikia kabisa si wajua hawa watu penda yao... ni hicho tu kosa ushafanya la kukubali kurudiana nae kwasasa ni kukaa mbali nae tu. vinginevyo siku si nyingi utapata matatizo bwana wake akijua na akajua ulipo kinachofuata ni maangamizi tu
 
Acha undezi, kwani wanawake wameisha? Achana na huyo mwehu,utaumia. Siku hizi mtu akijua unarukaruka na mwanamke wake,haongei sana, watu wanakuokota kwenye dampo ukiwa umesgasepa na alama kibao za majeraha yaliyotokana na kitu chenye ncha kali.
 
Huyo Mwanamke achana nae kimapenzi, atakuja kukuletea matatizo.

Kama kumsaidia, atakapotaka msaada wowote, wa kifikra, kiPesa, msaidie, kwa kuwa umetoka nae mbali na unampenda
 
Amka kijana. Mweleze huwezi kumuoa. Hata ukimuoa hataridhika ataendelea kupenda wanaume wengine kama ambavyo amekuwa akikufanyia maana haoni kama hilo ni tatizo kwako. Na wewe kuendekeza uhusiano wakati mko wanaume wengi litakuja kukugharimu huko mbele. Kama huamini jaribu uone utakavopoteza mwelekeo wa maisha yako.
 
Dah!! Mkuu hongera kwakutumia utumbo kufikiri.
Achana na mke wa watu wewe..hama hapo na namba yake futa kabisa...atakuja kukuacha hivyohivyo kama anavyotaka kumwacha mumeo kwa sasa...wewe mshauri tu akatulie na mume wake
 
Ushauri kwa kijana yeyote anayesoma huu uzi now...

Sikia mtu awaye yeyote usipojifunza kukataa basi jua utapata shida ktk jamii.
Ni lazima ujifunze kukataa kwanza ukifuzu hapo utakuwa vizuri kwenye eneo la kusimamia misimamo yako.
Lakini pia usiendeshwe kwa mambo ya mwilini tamaa ya mwili ni mbaya sana nenda kiroho zaidi.
 
Jamaa umepewa mjengo nin ukaonja ndo maana unashindwa kumuacha?
 
Muow....umemualibia masomo unategemea nn?...tangu form one unamgegeda....afu nyinyi ndo tunakutafuteni nyny
 
Back
Top Bottom