Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,698
- 98,777
Kwer bac Kama wewe pia upo single ungana namm
Mimi sikutaki
Kwer bac Kama wewe pia upo single ungana namm
Ulimfundisha kutumia PM?
Ona sasa umeuponza kaniibukia PM 🤦♀️
Na umemfundisha kufollow pia?
Hapo kipa hayupo tena golin.goli liwaz kwa wafungaji.Kuna huyu bibie Binti tz, anamtafuta mtu na hajampata.
Ataacha mwenye kuwapandia watu piem akikaribishwa na wale wakalia misumari, akina John Sin 😁Ulimfundisha kutumia PM?
Ona sasa umeuponza kaniibukia PM 🤦♀️
Na umemfundisha kufollow pia?
Kwa nini? 🤔Hapo kipa hayupo tena golin.goli liwaz kwa wafungaji.
R na L, limekuwa janga la taifa 😅Jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali 😄
Kanazingua kinoma aje huku kariakoo nimunganishe na mademuMimi sikutaki