Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,564
- 109,101
Sasa na wewe hapa ndio umejibu nini? mijitu mingine hovyo kwelikweli na hii ndio njia sahihi mimi ninayoitumia kujuwa elimu na ufahamu wa watu..............ndo maana watanzania tunafeli! Mtu badala ya kujib swali anaanza kujieleza! Soma uelewe na tafakari kabla ya kujibu.
Au ndio nyani halioni kundule?