hawa wadudu noma sana, wataalam wanadai pia kuna uhusiano wa kunguni na nguvu za giza, ukiona kwenye nyumba wapo hao jamaa ujue hapo kuna hali flani ya giza-giza japo asilimia kubwa hawa wanaletwa na uchafu.Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
Duh inawezekana Lakini🙆hawa wadudu noma sana, wataalam wanadai pia kuna uhusiano wa kunguni na nguvu za giza, ukiona kwenye nyumba wapo hao jamaa ujue hapo kuna hali flani ya giza-giza japo asilimia kubwa hawa wanaletwa na uchafu.
Ingia duka la dawa za Mifugo
ULIZIA DAWA INAITWA DIAZINONE
UPEWE HIO HIO NA SIO VINGINEVYO
kama uko Dar nitafute 0744033555 nikumalizie shughuli kwa elfu 15 tu
Kwani nyumba/chumba kimejengwa je.maana ushauri unatakiwa uendane na aina ya ujenzi wa nyumba,isije kuwa ni ya mbavu za mmbwa halafu nyie mnatoa ushauri wa nyumba ya tofali za cement na sakafu marumaruDuka la kilimo na mifugo kuna size tofauti.
Nyunyiza hadi kwenye creak za ukuta (kama ziko)na chini ya kitanda na kwenye chaga na sehemu zile unazoona wanaweza jificha alafu funga mlango shusha pazia kabisa hakimisha harufu inabaki mdani na hewa haiingii kwa mda humo ndani.
ddoms[emoji28][emoji28][emoji28]View attachment 1631416
Hii nimeielewa haina ghalama na inafanya kazi kweli umenipa bonge la mbinu asante ndugu.Usiangaike dawa yao ni ndogo Sana mkuu chukua sabuni ya unga ikoroge kwenye maji mwagia sehem walipo wanakufaa kilaini sabuni jamii ya unga namaanisha omo... Foma.. n.k
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1].eti wanakuchukia yote kwa yote hiyo dawa nimeielewa nimeijaribu wanadadedi aisee...Hii ndio dawa pekee iliyo nisaidia katika maisha yangu juu ya janga la KUNGUNI.
Unatumia hivi:-
Kila unapotaka kulala unawagia kitandani kote. Hii itapelekea kunguni kukuchukia na kuama taratibu hivyo basi nilichojifunza dawa sio kuwauwa bali ni kuwafanya wakuchukie kisha waame. Ila kinachonishangaza nimechukiwa na kila KUNGUNI yaaani hata nije kulala kwako kwenye mikungini mingi baada ya wiki utakuta imeama yote. Sijjui jasholangu linanuka linanuka hii dawa.
*NB
Harufu inaweza ikawa kero kidogo kwa upande wako ila kwa upande wangu mi ni burudani nimeipenda sana tuu.
*DAWA YENYEWE
-ni sabuni ya unga.
Sabuni ya unga inafanya kazi chukua sabuni ya unga changanya na maji halafu. Pulizia kwenye kunguni.. Utaona kunguni anavyokufa.. Anakufa style ya mbuzi kagoma[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]. Si utani ndugu jaribuNi utani au?
nlikua namtafuta atakaye itaja hii dawa angekosekana ningekutajia mm mzee fuata maelekezo haya achanana polojo hapo juu hutojuta .Kuna dawa inaitwa Farm guard hio ni kiboko sana kwa Kunguni yaan hatoboi kabisa.
Inapatikna maduka yanayouzwa pembejeo za kilimo.
No kweli kabisa..Dawa nzuri ya kunguni chukua mafuta ya taa changanya sabuni ya unga na chumvi hiyo ni sawa na bomu la nuklia kwa kunguni hutawaona tena mimi nilitumia sikuwaona tena
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Walio jaribu mbinu hiyo waulize Kilichowakuta, hakuna Wadudu Wanaweza vumilia njaa muda mrefu kama kunguni...hiyo siku utakayorudi ndio Wanafufuka sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hakuna rangi utaacha ona
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Sasa mnataka hizo parasites zile Nini nawakati main diet yao Ni human blood! Halafu haziambukizi maradhi Kama mbu!
Acheni nature ifanye kazi yake,huko kuchemsha maji na ma akheri powder Ni ku break laws of nature!
Wengi wao hawaniaminigi wanahisi kama ni joke au nazingua tu,. ila hii dawa ni dawa kweli ivo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1].eti wanakuchukia yote kwa yote hiyo dawa nimeielewa nimeijaribu wanadadedi aisee...
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app