Naweza kuingiza Billioni kwa mwaka kwa kampuni ya software nchini?

Naweza kuingiza Billioni kwa mwaka kwa kampuni ya software nchini?

Wakongwe habari zenu natumaini mko salama kabisa, na jumapili yenu inakwenda vizuri

Mimi swali langu ni hili ninataka kufungua kampuni ya ICT ijikite kwenye Software Development, ila sasa kama binadamu nina matamanio yangu na targets zangu, lengo la kampuni hii ni kuhudumia wateja wakubwa, wadogo na wa kati

Lengo ni kuwa na mauzo ya zaidi ya billioni moja kwa mwaka, target yangu kubwa ni kutafuta tender mbalimbali serikalini, na mashirika binafsi(b2b) na wateja mmoja mmoja (b2c)

Sasa basi swali langu ni kwamba nikisema nijikite kwenye software development naweza tengeneza zaidi ya 1B kwa mwaka? Nchini hapa? Soko ni kubwa kwa style hii? Najua yapo makampuni kama ipf software, smart codes, magila tech je safari ni rahisi au ni ngumu sana?

Lakini pia niwe jack of all trade?
Kivipi?

Yaani nianzishe kampuni ya engineering ambayo itakuwa inafanya Electrical, ICT, na Mechanical

Nimeambatisha chini kitu ambacho kampuni ya Klitech inafanya wao wanafanya Electrical, ICT, na Mechanical je nikienda kwenye hii njia ni sahihi kuna hela upande mwingi na nakuwa na wigo mpana wa kufikisha 1B kwa mwaka kuliko nikisema nina stick na software development pekee

Nawasilisha kwa maoniView attachment 2443003

unaweza na unaweza ila ni wazo gani ambalo litukuwa na manguri.

ukitaka wazo nitakupa bure 2023 itakuwa neema kwako wala sitaki pesa yako wala shukrani.
 
Unlikely unless ulenge masoko ya nje, una capital kiasi gani? Billioni ni 400,000 dollars kuna senior software engineers waajiriwa wanalipwa hiyo kwa mwaka.
 
Back
Top Bottom