Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Mar 11, 2013 #1 Niko na Decoder/King'amuzi Dreambox DM500-S kuna uwezekano wa ku-load software ya MPEG4!?????? Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwezekano huoooo. Na wapi/nani anaweza kunisaidia tafadhali. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Niko na Decoder/King'amuzi Dreambox DM500-S kuna uwezekano wa ku-load software ya MPEG4!?????? Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwezekano huoooo. Na wapi/nani anaweza kunisaidia tafadhali. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 327 Reaction score 63 Mar 11, 2013 #2 Mkuu hii decoder ndo ile inayofungua pay tv km Dstv?
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 Mar 11, 2013 Thread starter #3 Ni kweli "Mchakatoh" kama unahitaji nijulishe kuna JamAa anazo kwa Kilo mbili tu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ni kweli "Mchakatoh" kama unahitaji nijulishe kuna JamAa anazo kwa Kilo mbili tu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Robert mp JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 200 Reaction score 21 Mar 11, 2013 #4 Kaka mi mwenyewe nahitaji.hebu nifafanulie ni jinsi gani zinafanya kazi kwenye pay dstv.au nazo zinazingua kama dongle.ufafanuzi mkuu
Kaka mi mwenyewe nahitaji.hebu nifafanulie ni jinsi gani zinafanya kazi kwenye pay dstv.au nazo zinazingua kama dongle.ufafanuzi mkuu
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 327 Reaction score 63 Mar 11, 2013 #5 smartapartments said: Ni kweli "Mchakatoh" kama unahitaji nijulishe kuna JamAa anazo kwa Kilo mbili tu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... Vp zinazingua km hawk? maana niliichukua hawk kwa kilo3 nikaangalia mwz mmoja tu..mpaka sa ni scrambled haifungui tena..hebu fafanua hyo dreambox!
smartapartments said: Ni kweli "Mchakatoh" kama unahitaji nijulishe kuna JamAa anazo kwa Kilo mbili tu. Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums Click to expand... Vp zinazingua km hawk? maana niliichukua hawk kwa kilo3 nikaangalia mwz mmoja tu..mpaka sa ni scrambled haifungui tena..hebu fafanua hyo dreambox!