Naweza kugeza DM500-S kuwa MPEG4 Decoder?

Naweza kugeza DM500-S kuwa MPEG4 Decoder?

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Niko na Decoder/King'amuzi Dreambox DM500-S kuna uwezekano wa ku-load software ya MPEG4!?????? Tafadhali naomba kujuzwa kama kuna uwezekano huoooo. Na wapi/nani anaweza kunisaidia tafadhali.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ni kweli "Mchakatoh" kama unahitaji nijulishe kuna JamAa anazo kwa Kilo mbili tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kaka mi mwenyewe nahitaji.hebu nifafanulie ni jinsi gani zinafanya kazi kwenye pay dstv.au nazo zinazingua kama dongle.ufafanuzi mkuu
 
Ni kweli "Mchakatoh" kama unahitaji nijulishe kuna JamAa anazo kwa Kilo mbili tu.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Vp zinazingua km hawk? maana niliichukua hawk kwa kilo3 nikaangalia mwz mmoja tu..mpaka sa ni scrambled haifungui tena..hebu fafanua hyo dreambox!
 
Back
Top Bottom