S Sitta juma Member Oct 4, 2016 44 24 May 10, 2017 #1 Habar wadau,nauliza iv km umeoa na mke umemweka kwenye bima ya afya,mkaja kuzinguana je unauwezo wa kumtoa na kumweka mke mpya,mwongozo plsee
Habar wadau,nauliza iv km umeoa na mke umemweka kwenye bima ya afya,mkaja kuzinguana je unauwezo wa kumtoa na kumweka mke mpya,mwongozo plsee
TheJungleMaster Member Mar 20, 2017 74 124 May 10, 2017 #2 Mi sijaoa...ngoja waje walio oa labda watasema kitu
Billie JF-Expert Member Aug 13, 2011 13,513 22,455 May 10, 2017 #4 We ndo mwenye maamuzi wa kuingiza na kumchomoa mtu provided anaeingia awe na document za kuprove kuwa ni mke wako
We ndo mwenye maamuzi wa kuingiza na kumchomoa mtu provided anaeingia awe na document za kuprove kuwa ni mke wako