dah hapo sidhan kam itawezekana mana ni lazima uambatanishe na copy ya cheti cha f4.kwan taarifa za kupotea kwa cheti ulitoa na umefatilia kuwa ilitakiwa ufabye nin baada ya kukipoteza?
Kuna process za kurudisha cheti chako kilichopotea!sijakuelewa Mkuu, maana nimesema kimepotea.
Katoe tarifa polisi, shule uliosoma watakupa loss ripot, utaenda kupublish tangazo kwenye gazeti la serkali then utaenda necta huko utapewa utaratibu!Naomba kujua hizo taratibu. Mkuu
inatakiwa ufanye ivo mkuu,kufatilia kwanza ufahamu utaratbu kam upo..Mkuu, najaribu kutafuta nione kama walau naweza kupata copy.