Naweza kuanza tuisheni ya advance (PCB)

Naweza kuanza tuisheni ya advance (PCB)

"Unachowezafanya standalone usigeneralize kwa watu"
  • Tafakari pia.

Mkuu,

Haina haja ya kugombana katika hili.

Katika hali ya kawaida tu; huwa tunatoa ushauri kwa wanaotuuliza kutegemeana na tunachokijua kuhusu kile tumeombwa kushauri. Kujua huku sasa hutegemeana na aidha uzoefu ama kujifunza kwa wengine waliowahi kupitia katika suala husika.

Sijaona tatizo katika kile ambacho nimemshauri mtoa mada kwa sababu kinatokana na uzoefu wangu kupitia kusoma kozi husika, pia kujifunza kwa wengine ambao tulikuwa pamoja shule.

kazi ya mshauriwa ni ama kuchukua vile tunamshauri au kuachana navyo. Sidhani kama kuna haja ya kuchukulia ushauri wa wengine 'too personal'.

Tafakari.
 
Nadhani option ya REPLY WITH QUOTE iliwekwa kwasabu kama hii, yakutofautiana katika hoja.

Anyway tuishie hapa.

Mkuu,

Haina haja ya kugombana katika hili.

Katika hali ya kawaida tu; huwa tunatoa ushauri kwa wanaotuuliza kutegemeana na tunachokijua kuhusu kile tumeombwa kushauri. Kujua huku sasa hutegemeana na aidha uzoefu ama kujifunza kwa wengine waliowahi kupitia katika suala husika.

Sijaona tatizo katika kile ambacho nimemshauri mtoa mada kwa sababu kinatokana na uzoefu wangu kupitia kusoma kozi husika, pia kujifunza kwa wengine ambao tulikuwa pamoja shule.

kazi ya mshauriwa ni ama kuchukua vile tunamshauri au kuachana navyo. Sidhani kama kuna haja ya kuchukulia ushauri wa wengine 'too personal'.

Tafakari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom