Stevmpanduji
Member
- Sep 7, 2015
- 14
- 0
Tuition na final result hazna uhusiano unaweza ukapga tuition uka make vile vile ukapga tuition na uka-differentiate constant kikubwa ni tecnics 2 kwenye usomaji
Kwanza natakunguliza shukran kwa wadau wa elimu ktk jukwaa hili mimi ni mwanafunzi niliyemaliza form four mwaka huu 2015 napenda kuuliza je ninaweza kuanza tuishen ya advance kwa mchepuo wa pcb hata kabla ya matokeo kwa sababu na itaji kujiandaa mapema ili nifanye vema advnce.....asante naombeni ushaur wadau
Kwa habari ya 'twisheni' soma sana biology na physics. Ila biology iwe zaidi. Kemia haina shida sana na si lazima usome 'twisheni'.
usisahau, usije ukaweka 'weight' sawa kwenye kusoma hayo masomo matatu. Nazungumza kutokana na uzoefu.
Tafakari.
mudhuka gani tena? wakat nataka nijiandae mapema ili nije kupata matokeo mazuri si nataka udokta
Wewe itakuwa ndio waleeeee wakufokafoka hovyo au itakuwa umevuta bangi mbichi UKRISTO Humu umeingiaje au ndio unawashwa tukuitie JUMA NYOSO aje akutekenye kidogoNyie wenye viherehere ndo huwa mnagonga zero afu mnaanza kusingizia necta inabeba wakristo.
Hahahaha!kijana unanifurahisha kweli kweli teh teh teh
Nyie wenye viherehere ndo huwa mnagonga zero afu mnaanza kusingizia necta inabeba wakristo.
jaman nahisi hamjanielewa mim kwa sasa nipo hom tu hvyo ninapo sema tuit nataka kaka yangu anifundishe kwa kuwa nimekua na hamu kubwa ya kusoma advane na pia ningependa zaidi mnishaur mliosoma PCB.PCM.PGM.CBG.EGM.CBN.CBA kwa kuwa wana uzoefu na jambo ninalolitaka
if possible dogo anza sasa maana huku juu walimu walo wengi hasa wa shule za serikal n shdah hawana data
anza tu dogo coz mm nachukuwa pcb nipo kidoto cha sita muziki wa hayo masomo unataka muda
Piga cbg
Unashangaza sana kijana unavyopotosha watu, yaani useme Chemistry ni rahisi anaweza kujisomea,
Advance sio kila mtu anakuwa sawa, ndomana wengine wanalala tu shule na bado wanafaulu, tena PCB, PCM, wengine wanasoma kila tuition na bado wanafeli.
Nimesoma PCB na nnaifahamu vizuri, ukiwa weak tu kwenye biology usijeiacha eti usome Physics na Chemistry, tena ubaya wa physics haina mazoea, huwa haijali umesoma vipi.
Mkuu,
Tunawezakuwa na uzoefu tofauti. Hata miye nilisoma PCB na nilichomshauri ndiyo ilikuwa strategy yangu japokuwa miye sikusoma 'twisheni'. matokeo yangu ya mwisho yalireflect nilichokizungumza. Physics (A), Biology (B) na Chemistry (B).
Nadhani nilikuwa natoa ushauri tu kutegemeana na uzoefu na kujifunza 'strategy' walizokuwa wanatumia wengine na walichopata mwishoni. Kama vipi anaweza acha tu kuifuata. haina haja ya kulumbana.
Tafakari.