Je, inawezekana kubadili camera ya simu?

Darren2019

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2019
Posts
1,111
Reaction score
2,412
Wakuu msaada wenu tafadhali.
Simu yangu (Samsung A50) ilivunjika kioo cha nje camera ya nyuma, nkaenda kwa fundi akaniwekea kingine ila ule uangavu wa picha haukuwepo tena, leo nmeamua kuking'oa mwenyewe ila pia hakuna nlichosaidia, ndo nkapata mawazo ya kufanya replacement ya system nzima ya camera, je inawezekana?
Naomba kuwasilisha!
 
Ukibadili iliyopo basi utaweka nyingine yeye sifa ileile kwa lugha ya kitaalam ni kuwa lazima model ya camera mpya iwe sawa na ya kale.

So usitarajie kuweka camera yenye ubora zaidi ya iliyopo
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom