Nawewe malizia

Nawewe malizia

Denicedion

Member
Joined
Jan 11, 2015
Posts
33
Reaction score
7
ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU AMBAYE
ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA (SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele
kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono mmoja
mwingine nje ya mlango
3 Kumsalimia kila anayepishana naye hata
kama hamjuii
4 Kwenda na gari kwenye harusi halafu
anaipark vibaya ili atangazwe(mwenye gari
namba …..akatoe gari yake)
5 Kutoa kichwa hadi kifua nje wakati wa
kurud nyuma wakati side mirrors zipo
6 …………….. 7……………… 8………………
9……………… NA WEWE JAZILIZIA ZINGINE
 
Watu kama hao hukunja uso kila wakati wanapoendesha kwa dharau
 
Akigongesha anakupa elfu kumi na pole nyingi na samahani bila kujua gharama ya uharibu
 
Anapenda kupiga simu ovyo na kusema 'anadrive!'
 
ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU AMBAYE
ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA (SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele
kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono mmoja
mwingine nje ya mlango
3 Kumsalimia kila anayepishana naye hata
kama hamjuii
4 Kwenda na gari kwenye harusi halafu
anaipark vibaya ili atangazwe(mwenye gari
namba …..akatoe gari yake)
5 Kutoa kichwa hadi kifua nje wakati wa
kurud nyuma wakati side mirrors zipo
6 …………….. 7……………… 8………………
9……………… NA WEWE JAZILIZIA ZINGINE
Denicedion hii sio tetesi! Tetesi ni jambo la muda tu ambalo halijathibitika na likithibitika hukoma kuwa Tetesi! Post yako ina maudhui ya tabia na si tetesi
 
Last edited by a moderator:
sehemu zenye watu wengi anashuka na kukaa mbele ya gari na funguo
 
dahh...kuna boya kanisambazia maji machafu kwa gari yake ya kuazima..Mungu ambariki na gari lake la kuazima
 
Anaweka mdomo umbo la O hii ni kwa mademu,anaendesha huku akiwa amebinua kiuno na papuchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom