Kuna meza na viti vimekwama mahali vilikuwa vinaletwa huku.wazazi wa maeneo hayo ndio hawajielewi...
Unadhani ni uwezo au namna ya kuwaongoza.Staki niamini kuwa watu wa maeneo hayo wanashindwa kujiongeza kiasi cha kushindwa hata kuchangishana michango wakapata madawati.
Kuna picha mojawapo naona wanasomea chini ya miti (pine), ina maana shule haina mashamba? Kama yapo, mbona bei ya mbegu ni 9000 per kg. Ikioteshwa vema inaweza kutoa miche mpaka 10000 ambayo itapandwa kwenye eneo zaidi ya ekari 10 n.a. baada ya miaka 10 tu inavunwa .
Sasa hapo shida ni nini?
Ni uwezo tu wa kufikiria mkuu...
Aaaa wapi
Najiuliza wangeweka Wapi meza na viti hivyo, kwa shule hiziAaaa wapi