Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Karibia kila siku kuna wahitaji wa mahusiano ambao wanatoa yao ya moyoni. Kwa ukaribu uhitaji wao huwa unafanana kati ya wanaume na wanawake. Je! Wahitaji wanachukua muda wa kuwafuata pm ambao tayari wameshatoa taarifa zao kwenye jukwaa au ni kujionyesha kuwa na wao wametangaza?
Pili mods wakati mwingine kunatakiwa umakini katika haya maana wengine wanatoa matangazo yao mara mbili mbili na hivyo kujuza tu ukumbi na kuwapa ban wale ambao wanatoa kejeli na utani katika majukwaa ambayo siyo ya utani kwani kwa kuwaacha kunashusha hadhi ya jukwaa.
Nawaza tu!