Nawaza mtumba wangu wa home Theatre

Mc2nyi

Senior Member
Nov 5, 2013
190
185
Kumekuwa na clip ya video ya mama akiwa amebanwa just akiwa na tv moja na begi la nguo. Nikaona tv hiyo moja ikichukuliwa na hizo nguo...incident kamili ni contraversial.

Jaman nimenunua home theatre yangu naitumia huki but soon narudi, je na mimi nitazuiliwa na kutakiwa kuulipia kodi hata kama nilikuwa nautumia.
Waliopo JK int. Airport au hata TRA pls ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom