Nawaza labda Lissu anaweza akawa Exiled

Nawaza labda Lissu anaweza akawa Exiled

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,631
Reaction score
18,665
Ofcourse najua hayo mashtaka yatafutwa ila what if Lissu akapelekwa Exile?...
20250430_210450.jpg
 
Itakuwa nafuu kwa ccm mpinzani wao kwenda uhamishoni
 
exile kwa kosa gani. Mashtaka dhidi yake yatafutwa na sheria zitarekebishwa za uchaguzi (at least minimum reforms) na ataushiriki uchaguzi mkuu na wananchi wataamua. (kura ya mpigakura itathaminiwa)

siku zote Mungu ni MUNGU wa Haki, na daima huwa upande wa haki.
 
Unamfukuzaje mtu kwenye nchi ya baba na mama yake? Exile mtu anakwenda anapoamua mwenyewe kwa kuhofia usalama wake, sio kwa kupelekwa na mtu!
Kwani hakuna kwenda uhamishoni kwa kulazimishwa.
 
Kwani hakuna kwenda uhamishoni kwa kulazimishwa.

Hapana itakua concept mpya, na kwa character ya Lissu itakua big deal, huyu sio mtu wa kunyamazishwa kwa mapochopocho wala ahadi! Anajitambua sana huyu baba na hawezi kuwa tayari kuacha uzawa wake kwenda ugenini kwa sababu tu kuna watu wanataka kutumbua nchi bila bughudha. Angetaka si angechukua uraia Belgium au kwa wanae US yaishe, tena bila hata kulazimishwa na mtu!

Good thinking though
 
Lissu sasa amekua pasua kichwa.
Kwann ufikirie kuwa anaweza kulazimishwa kwenda uhamishoni?
Na kwa nini alazimishwe? Je yeye mwenyewe atakubali kirahisi rahisi?
Hizo jumuhira za kitaifa na kimataifa zinazomtetea zitaielewa Tanzania?
 
Back
Top Bottom