Nawaza kwa sauti.....

mgonga

Senior Member
Oct 26, 2018
174
560
Wakuu poleni na majukumu ya siku hii,kuna jambo moja linanifikirisha sana na ningependa kupata maoni yenu.
Jambo lenyewe ni hili,katika maisha haya ya kila siku,na tangu nikiwa mdogo nimeona hawa wenzetu wanao vaa miwani huwa wanakuwa na hulka ya kujisikia sana na kuringa ringa!! Nazungumzia wale wanao vaa miwani ya macho na sio ile ya mapambo!akisha vaa ile miwani hujiona kama ndo msomi flan,na kama ni wa kike basi maringo ndo yanakuwa mara mia moja zaidi!!
Sasa wakuu nisaidieni je huu ni uungwana?
NB;sijasema wote,baadhi yao,na naamini wengi mmekutana na hii kadhia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache waringe wakiwa hai wakifa hakuna kuringa.
Kama nawe una hamu ya kuringa nunua miwani.
Kijana wa kiume unashangaa kuringa kwa mwanamke,hujui kuringa kwao ni Sunna?
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku hii,kuna jambo moja linanifikirisha sana na ningependa kupata maoni yenu.
Jambo lenyewe ni hili,katika maisha haya ya kila siku,na tangu nikiwa mdogo nimeona hawa wenzetu wanao vaa miwani huwa wanakuwa na hulka ya kujisikia sana na kuringa ringa!! Nazungumzia wale wanao vaa miwani ya macho na sio ile ya mapambo!akisha vaa ile miwani hujiona kama ndo msomi flan,na kama ni wa kike basi maringo ndo yanakuwa mara mia moja zaidi!!
Sasa wakuu nisaidieni je huu ni uungwana?
NB;sijasema wote,baadhi yao,na naamini wengi mmekutana na hii kadhia.

Sent using Jamii Forums mobile app
tenor(0).gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • tenor(0).gif
    tenor(0).gif
    416.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom