Nawaunga Mkono Madaktari


Dawa ya jipu ni kulikamua. Bora maumivu makali ya muda mfupi na ukapona kuliko maumivu yanayoanza pole pole huku ukali ukizidi na yakiwa ni ya kudumu.
 
Nimeskia mahakama imetangaza madaktari wasigome kesho, jamani gomeni madaktari serikali haiwajali kabisa.
 
Nimeskia mahakama imetangaza madaktari wasigome kesho, jamani gomeni madaktari serikali haiwajali kabisa.
hivi madaktari wote wakisema wanaenda mahakamani kwenye kesi tutaita ni mgomo au la?mbona serikali inajitia kitanzi namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…