Nawauliza Tigo, Je hii ni service charge yenu?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,240
4,263
Leo asubuhi jan 8/2016 niliangalia salio langu kwenye simu nikakuta sh 123.
Nikacheki tena saa tano mchana nikashangaa kukuta sh 107!
Nawauliza tigo, hizo sh 16 mlizokata ndio service charge au ni kitu gani?
 
Back
Top Bottom