Nawatetea Tigo kuhusu 'Jaza Ujazwe'

kikale

JF-Expert Member
Oct 14, 2012
455
575
Wakuu Naomba niwatetee kampuni ya tiGO.

Leo hii Watanzania wanapiga kelele kuhusu "Jaza ujazwe". Lakini Watanzania wamesahau kuwa uchokozi waliuanzisha wenyewe.

Uchokozi huo waliuanzisha kwa kuharibu maana ya "tiGO". Sina haja ya kufafanua, ila kila Mtanzania anajua neno "tiGO" linatumikaje huku mtaani.

Ila ukigoogle maana ya tiGO kwa lugha ya huko kampuni ilikotokea maana yake ni "Wewe". Bila shaka walilenga kumaanisha tiGO ni kampuni inayokujali wewe.

Na wacha Mungu wanaotumia Kiingereza wakaichakachua "TIGO" kuwa ni "Trust In God Only". Ambayo imekaa vizuri.

Ila sie Waswahili bwana .... sijui akili zetu zikoje mpaka tukaipa "tiGO" ile maana yetu ileeeeee!

Sasa tiGO nao wametuletea Uswahili tunaanza kulialia.

Acheni longolongo bwana.
 
linasemaj mkuu hlo
e89f5feb884c14c2325c12d33d7076a7.jpg
 
Watanzania wanapenda kushupalia vitu vepesi-vepesi.

Aliyebuni hili tangazo anapewa promo ya bure mpaka bungeni, pesa inaingia tu na makampuni kinzani yamefungwa yameshindwa kucopy kwasababu watajikuta wao ndiyo wameishia kutukana.
 
Back
Top Bottom