Nawatamani kishenzi

chardams

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
2,450
Reaction score
1,753
Wenye uwezo najua wikiendi inawakoma huko town, i wish i was in town. Kazi zingine ahaah................... hapa niko job, kesho pia dah ...............
 
Wapi hiyo kaka busy hivyo? Unalinda mnara wa voda sekenke?
 
Wapi hiyo kaka busy hivyo? Unalinda mnara wa voda sekenke?

Si bora mnara wa voda sekenke unaweza pata wa kukupokea, Niko huku serengeti National Park kazi kwa kwenda mbele hakuna wikiendi wala siku kuu
 
Ahh! We kumbe unakula oxygen huko,mjini wakutakia nini?mafisadi wapo huku,mabomu ya machozi,foleni,juzi wameanza na mchezo wa kunasana.we kula oxygen na kina fauna na flora
 
pole, ndio ukubwa huo, piga kazi mkuu
 
karibia pale Nyatwali L0dge utanikuta nakusubiri tupige story mwaya w'kend itakua fupi tu.
 
Si bora mnara wa voda sekenke unaweza pata wa kukupokea, Niko huku serengeti National Park kazi kwa kwenda mbele hakuna wikiendi wala siku kuu

Potelea mbali achana na hiyo kazi rudi town chardams.
 
Last edited by a moderator:
fanya kazi kijana, huku mjini bila pesa waj kazi ni tabu, usipokuwa na kazi huku mjini unaweza kujikuta unapara samaki au unaparaMIWA. Nakushauri piga kazi zichange ukirudi huku.iwe heshima.
 
naweza kuja kukutembelea......?
 
Ahh! We kumbe unakula oxygen huko,mjini wakutakia nini?mafisadi wapo huku,mabomu ya machozi,foleni,juzi wameanza na mchezo wa kunasana.we kula oxygen na kina fauna na flora

Haya bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…