Nawatakia weekend ya bien

Wapendwa wanajf jamvi la MMU, nawatakia wkend njema. Kwa wenye kugonjwa wapone haraka, wenye matatizo mbalimbali Mungu awasaidie . Na wazima awazidishe heri. Ntakuwa safarini Kazuramimba. Merci mingi !!

Asante Sana Chetuntu,safari njema wasalimie wote huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom