asante ........
Ramadhan Mubarak
Thank you!
Kwa niaba ya wana MMU napenda kuwatakia mfungo mwema wa mwezi wa Ramadhani kwa wale wote wanaofunga kwa dhati na kuepukana na yote yasiyofaa. Akhsanteni. Ramadhan Kareem.
zawadi yako ya eid ipo ..ikifika tu nistue