Nawatakia mkesha mwema ndugu, jamaa na marafiki katika kuadhimisha Mawlid ya Mtume Mohammad SAW

Ohooo kumbe hii Idd ya kesho ni saw a na Christmas kwa Wakristo.

Wakristo na Waislam ni ndugu moja, yaani uzao wa baba wa imani mwenyewe Ibrahimu

Mwanzo sura ya 17

Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, Bwana akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.
Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana.

Nami nitambariki Sara mkeo, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa kabila za watu watatoka kwake.
Ndipo Ibrahimu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa?

Ibrahimu akamwambia Mungu, Lau kwamba Ishmaeli angeishi mbele yako.
Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

Na kwa habari za Ishmaeli nimekusikia, nimembariki, nitamzidisha, nami nitamwongeza sana sana. Atazaa maseyidi kumi na wawili, nami nitamfanya awe taifa kuu.
 
Ujio wa Mohammed alikuja na jipya gani kwani ?
Mtume Mahammed na mtume Mwambosa si wana kazi the same tu
 
Hivi kesho ndio maulid rasmi ambayo itasheherekewa na waumini wa kiislamu wote au kuna kundi lingine la waislamu ambalo halita jihusisha na sherehe ya kesho?
 
Back
Top Bottom