Walimu wenzangu, hakuna haja ya kugoma kwa sababu ni sawa na kukata tawi la mtiulilokalia. Tafadhali sana hususani vijana wenzangu tunatakiwa tutambue kuwa UALIMU NI WITO!
Mhuuuu hawakumbuki kauli ya mkulu sjaribiwi na stojariwa yang masikio walim kumbukeni kuna watu hawaja ajiliwa mika miwl sasa wamekaaa tu nyumbani ningependa kama mungebuni njia ingne,hujuw lengo la mkuu kaya kutoajili itakula kwenu.
Wakati mwingine uwe unasikiliza vizuri kile kinachosemwa na viongozi wa CWT.Hakuna kiongozi aliyesema kuwa mgomo unaanza,bali walisema iwapo selikali haitajibu madai,watatangaza mgogoro na serikali.
Wakati mwingine uwe unasikiliza vizuri kile kinachosemwa na viongozi wa CWT.Hakuna kiongozi aliyesema kuwa mgomo unaanza,bali walisema iwapo selikali haitajibu madai,watatangaza mgogoro na serikali.