CV yangu haina experience, najaribu kutafata hata sehemu nijitolee nipate uzoefu naona ugumu ni ule ule. Tatizo hata nikifanya interview ya kazi isiyohitaji ulazima wa experience utasikia kipaumbele alipewa mwenye uzoefu ndo kapata kazi.
Nafikiria kudanganya experience na kujipanga jins ya kujitetea, maana maisha yamekuwa magumu sana.
Je kuna madhara yoyote?
Nafikiria kudanganya experience na kujipanga jins ya kujitetea, maana maisha yamekuwa magumu sana.
Je kuna madhara yoyote?