Nawasihi kina dada kunyoa nywele za chini

Kuna dada alitoka huko bush, amefika mjini anamuomba dada yake akamnunulie topaz, dada akamuonyesha cream na jinsi ya kuitumia. Baada ya muda ameshapata bwana mjini, anataka kusafisha maeneo kabla ya date, si aliiacha kama dakika 20 hivi, kwenda bafuni cream imeondoka na nywele na ngozi. Alinihadithia anasema usiku alingoja watoto walale aweke feni usawa wa maeneo. Kwakweli nilicheka saa.

Nilisikia inasababisha kansa, vipi kuna ukweli wowote
 
Habari wandugu
Jamani mpaka nimefikia kuandika hapa ni ile tabia ya kina dada kuacha nywele nyiingi sehemu za siri

Nilikutana na mwanamke wa kijaluo duu kiukweli badala ya kufurahia mapenzi alinitia maumivu maana zile nywele ugumu wake ni kama uzi wa manila

Alinikata kata uume wote sasa nawasihi wenzangu usije ukamuona mtu ana kichaka ukamvamia hatari
 
Mkuu ww co mbunifu kabisaaaa,.pia ulishindwa nn kukimbia kwa mangi kununua ukamnyoa kabla ya kula tunda??unaona sasa umekatwa kama ulikuwa una do na nungunungu,..pole ila next time tembea navyo kwa ajili hiyo,.
Ati nungunungu
 
Tatizo ni aina ya nywele na zinaachwaje.
wale wasinga singa wakiziacha sio shida kiviile (lakini ziwe wastani) ambapo zinatambulisha kuwa hii K ya mtu mzima
na unaacha sunna karibu na shimoni

kwa wenye vipilipili sishauri. kama una kipili pili kwangua zote
princess nitafute nikutumie ef 10
 
Kuna dada alitoka huko bush, amefika mjini anamuomba dada yake akamnunulie topaz, dada akamuonyesha cream na jinsi ya kuitumia. Baada ya muda ameshapata bwana mjini, anataka kusafisha maeneo kabla ya date, si aliiacha kama dakika 20 hivi, kwenda bafuni cream imeondoka na nywele na ngozi. Alinihadithia anasema usiku alingoja watoto walale aweke feni usawa wa maeneo. Kwakweli nilicheka saa.
Hahaha mkuu ina maana ukichelewa kutoa inaondoka na ngozi ?????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom