Nawashwa uume katikati kwenye mrija

Nawashwa uume katikati kwenye mrija

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,737
Wakuu! Kuna hali ya tofauti naiona kwenye uume,

Baada ya kukojoa huwa napatwa na maumivu kwenye kitundu cha kutolea mkojo, yani nawasha kama nimepaka pilipili, maumivu sio makali sana

Sometimes kuna vimaji maji vyeupe huwa vinatoka vyenyewe.

Hii kama siku ya 4 hivi.

Nyeto huwa nakula, na madem huwa natumia ndom.

Hili ni tatizo gani? Kifupi sipo comfortable
 
Mkuuu Acha tabia ya kukatiza Ruti, ukianza ruti fika mwisho wa Safari yako shusha abiria endelea na hamsin zako. Sasa kama unakatiza ruti hao abiria kwanini wasilete usumbufu.
 
Pole sana nenda kapime uti na magonjwa mengine ya zinaa, alafu punguza kupiga punyeto angalau mwezi mara 2 ukizidiwa..
 
Nenda hosptal hiyo ni U.T.I sugu mzee huwa inakua hivyo

Kama sio uti itakua ni ugonjwa wa gono.
 
Huenda ni STD

Nenda hospitali upigwe sindano kali.

Angalia usije kupata madhara zaidi.
 
Mkuuu Acha tabia ya kukatiza Ruti, ukianza ruti fika mwisho wa Safari yako shusha abiria endelea na hamsin zako. Sasa kama unakatiza ruti hao abiria kwanini wasilete usumbufu.
Nilisikia bibi mmoja akidai nichanganyie!!! Hiyo huwa ni hatari bin vuu. Ukitaka kuchanganya toka nenda unawe na sabuni kiufasaha ndiyo umchanganyie. Au panga kuwa kama jumatatu unatumia voda jumatano nenda katumie Tigo siyo unatumia voda na hapo hapo unatumia Tigo
 
Usisingizie nyeto mzee. Hapo ulikutana na demu mamba mzeiya
 
Achana na mabeki tatu.ona ushajiunga Cipro gang bado herpes tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom