Nawashwa na vipele vidogo mwilini

Nawashwa na vipele vidogo mwilini

Hapa vipi kuna msaada ulipatikana maana na mimi yamenikuta
 
Kama hivi ?


8030006c0ffd3fafee60d31408f5d34b.jpg
mkuu hv vipele vya aina hii vimenitokea hata sijui nifanye nn?
 
mkuu hv vipele vya aina hii vimenitokea hata sijui nifanye nn?
Daah mkuu wahi hospital maana hapa siwezi kukupa notes maana vipo vingi vinafanania asa nawezasema hivi kumbe kwa muonekano ni tofauti.fanya uwahi hospital utapatiwa dawa.
 
Back
Top Bottom