Nawashwa na vipele vidogo mwilini

Nawashwa na vipele vidogo mwilini

Daaah sijui nikusaidieje maana situmii simu, ngoja wajuvi wakuelekeze..
fbcc4f820c7cc3dcbc82feffdec4b482.jpg
 
Nakuonea huruma mdogo wangu (Una jina la mdogo wangu)
Yeye wifi yako alikua na kama vibarango vinakua kama vidonda ukivigusa anaumia, Vilikua Kifuani, kwenye mapaja na Kidogo usoni.

Vilikua vikikauka vinaacha baka leusi.

Ushauri. Anza kuumeza Vidonge vya Vitamin B (Vile vya kuleta hamu ya kula vutakusaidia vinatibu ugonjwa wa ngozi pia)
Yan unakuta sehemu moja vimejitenga vpele vidogodogo sana kama vinne au sita ninavyokuna vinakauka vinaacha doa jeuc vinatoka vingne kama 1 ukikuna kinazaa wenzake kama watano hv vinajtenga yan dizain kama vishilingi kama una vifahamu ila xaxa hv tofaut yake ni vdogo cyoakubwa kama shling naomba nielekeze nitume pc sahv
 
Hiyo allergies acha kula vitimoto na samaki WA maji chumvi kacheki na minyoo
 
Hiyo allergies acha kula vitimoto na samaki WA maji chumvi kacheki na minyoo
Asante nmenunua Leo albendazol nlipanga nmeze asubui xo unanishaur nimeze au nikapme kwanza maana vinawasha naona had aibu kujikuna mbele za watu wacjesema cjaoga bure
 
Nakuonea huruma mdogo wangu (Una jina la mdogo wangu)
Yeye wifi yako alikua na kama vibarango vinakua kama vidonda ukivigusa anaumia, Vilikua Kifuani, kwenye mapaja na Kidogo usoni.

Vilikua vikikauka vinaacha baka leusi.

Ushauri. Anza kuumeza Vidonge vya Vitamin B (Vile vya kuleta hamu ya kula vutakusaidia vinatibu ugonjwa wa ngozi pia)
Asante mpenz ubarkiwe nitafanya hvyo
 
Back
Top Bottom