Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
- Thread starter
- #41
Hapana me bikra bdoHukutembe na mtoto (kijana) wa mtu kweli..
Hapana me bikra bdoHukutembe na mtoto (kijana) wa mtu kweli..
Hiyo bikra unaitunza ya nini mpaka sasaHapana me bikra bdo
Ok kwa kuwa unaogopa kwenda hospigal kesho fanya yafuatayo:Mbona nmetuma pc angalia utaviona
AsantePole sana dada, lakini nakushauri bora uende kwanza Pharmacy kesho unaweza kupata dawa yake.
Asante mpenz ubarikiwe sanaOk kwa kuwa unaogopa kwenda hospigal kesho fanya yafuatayo:
1.Nenda duka la dawa nunua dawa inaitwa Erythromycin utaandikiwa na dozi ake.
2.halafu nunua moja ya dawa hizi za kusafishia hizi vidude
Potassium permanganate,
Gentian violet ya maji 0.5%,
Betadine solution,
Sodium chloride solution(maji ya chumvi wanaiitaga ?.
Nakushauri umuone daktar lakin japo nimekupa maelezo ya tiba sahihi.
Usiku mwema.
Nmepanga nife nayo sion wa kumpaHiyo bikra unaitunza ya nini mpaka sasa
Asante my, vp kuna wakat ulikuwa unaskia pia kama vle unatembelewa na wadudu mwilini?Kama hauna HIV, kama hauna kaswende basi hiyo ni alergy. Hata mm napata shida kama hyo nimeshapima HIV mara 4 tangu May 2017 mpaka sasa, hamna. Kaswende ni msamiati kwangu. But nimeambiwa ni alergy so nisaidie kujua inasababishwa na nn. Hamna dawa ya kusababisha visitokee hivyo but ipo dawa ya kupunguza madhara vikitokea. Dawa inaitwa Betamethasoline and Salicylic Acid Ointment kama sjakosea.
Hahahahaha umenichekesha ziko salama salimin yan mpak zinavutia mm cna ugonjwa wowote ni hv vidude tu na ninahc inaweza ikawa ni ile blue band niliyotumiaSehemu za siri ziko salama?

Hahahahaha una vtuko ww umenifanya nmecheka wakat nilikuwa nimenuna aya asante mpenz wang ubarkiwe sanaPole sana jaribu kwenda kwa mafamasia waonyeshe hizo dalili watakupa Dawa!
Lkn pia kwa 50% hivi inaweza kuwa minyoo na 50% nyingine inaweza kuwa allergy au 100% hiyo inaweza kuwa ni hiyo blueband maana nyingi zinakuwa tayari zishaexpire kwa hiyo ni kuwa makini wakati wa kuzitumia....
Asante ukinishukru pia usisite kuniita mpenji![]()
![]()
![]()
Ndo wew Neema Swai wa Dar Es Salaam,Tz?Nmepanga nife nayo sion wa kumpa

Niko ktk kubembeleza pendhiHahahahaha una vtuko ww umenifanya nmecheka wakat nilikuwa nimenuna aya asante mpenz wang ubarkiwe sana
asante mpenji wangu Mungu akusaidie upone haraka ikibidi utafute mtu aitoe hiyo bikira mapema.Asante mpenz kweny papuch cna yan hv vpele sana sana viko mgongon na tumbon huku kwingne labda kimoja kimoja papuch iko fresh had ukishka unateleza very smoothDada allergy hiyo,Nashangaaga wadada weng wanaogopaga kwenda Hosp hata wakizidiwa ndo wanapelekwa,MM NAKUSHAUR USINUNUE DAWA PHARMACY Bali nenda Hosp upate ushaur kwanza,HUENDA UNATUMIA SPRAY YA AINA MOJA KWA MDA MREFU,au UMEBADILISHA KARIBUNI...mda mwngne huenda sàbabu za kimazingira kuhama shm 1 kwenda nyngne(hapa vyakula vitachangia pia,na unaweza kuta UNAPATA HIVI VIPELE VIDOGOX2 KAMA VIMCHANGA hadi kweny mashavu ya papuchi au mapajà).
NENDA HOSP ,unaweza pata ushaur WA ziada,au wakakufanyia skin culture Kujua matatizo madogomadogo ili yasikutokeee daima.....
Niko ktk kubembeleza pendhi
Priceless Soul