Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
Habari zenu wapendwa, naomben ushauri mwenye kujua hili, ni wiki ya pili hii natokewa na vipele vidogodogo mwilini vinajikusanya vinatengeneza duara kama vile vishilingi, vinawasha sana vinakaa kama siku 3 vinakauka vinaacha alama nyeusi vingine vinaibuka vipya ni mwili mzima mgongoni na tumboni ndio zaidi yani ni alama vishilingi sijui yani hata sielewi siku zinavyozidi kwenda naona vinaongezeka msaada jamani.
Natanguliza shukran kwa watakao nipa ushauri.
Natanguliza shukran kwa watakao nipa ushauri.