Nawashukuru waungwana!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Waungwana wote mlionitakia Tahfif kwenye Msiba ulionipata nakushukuruni sana kwa wema wenu. Mamndenyi na FP nao nawashukuru sana hasa kwa utayari wao wa kutaka kuja Msibani. Aaagh! JF bwana inanoga sana ikiwa hivi ilivyo. Watu wengine mkionana wanaanza "kumbe Kigarama ana midevu kama Osama halafu haichani!"

Kwa kweli nakushukuruni nyote mlioguswa. Nilishangaa watu kuhisi Ushairi hauhusiani na maisha yetu ya kila siku na wengi walidai "nilidhani ni shairi tu". Watu wa Mashariki ya kati kwa kawaida huwasiliana sana kwa mashairi hata sisi huko nyuma tulikuwa ni jamii ya washairi.!!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana mkuu.
hapa ndo JF, full upendo yaani.......... yaani ukiwa na watu hapa hata wengine hujawahi onana nao unajisikia faraja........ aliyeanzisha hii kitu adumu sana tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom