Nawashauri CHADEMA wajiunge na CCM

mpyonko

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
353
388
Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....

Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.

Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipokubali kubadilishana Slaa kwa Lowasa.

CCM wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadilishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

Na Lowasa wakati wowote anarudi CCM, jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki!
 
Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipo kubali kubadirishana Slaa kwa Lowasa.

Ccm wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadirishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

Na Lowasa wakati wowote anarudi Ccm ,jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki! Nakaribisha povu lakutosha!

Mkuu you are perfect!
Sioni siasa za upinzani kwa sasa zaidi ya maigizo.
Siasa za upinzani zilikuwepo 2015 kurudi nyuma, kilichobaki kwa sasa ni kila mtu kutafuta kick.
Ila uvumilie matusi mkuu za jamaa wa upande wa pili.
 
Wapinzani leo mtandaoni tunapumua hali yao mbaya baada ya kipigo cha bao 42 kwa 1 hayo ndiyo matokeo ya kukubali kuwa wanafiki Kwa watanzania, hatuna utani ukiteleza tu umeliwa
 
Niliwaonya watu kuwa mbowe alimake one bad mistake ya kumkaribisha El na kumtangaza kuwa mgombea haraharaka.

CCM waliweka mtego na chadema ikategeka. El was a trap
 
Mkuu you are perfect!
Sioni siasa za upinzani kwa sasa zaidi ya maigizo.
Siasa za upinzani zilikuwepo 2015 kurudi nyuma, kilichobaki kwa sasa ni kila mtu kutafuta kick.
Ila uvumilie matusi mkuu za jamaa wa upande wa pili.
Nilishatukanwa sana wala siogopi lkn hatuna wapinzani Tz tuna wachumia tumbo akina Mbowe ndiyo maana walimuuzia Lowasa chama kwa bilioni kumi...Trust me Lowasa yupo Chadema lakn moyo upo Ccm soon utaona anarudi nyumbani
 
Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....

Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.

Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipo kubali kubadirishana Slaa kwa Lowasa.

Ccm wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadirishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

Na Lowasa wakati wowote anarudi Ccm ,jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki! Nakaribisha povu lakutosha!

Kweli mkuu, hakuna siasa za upinzani tena, zimebaki siasa za mapanga visu, utekaji, maiti kuokotwa baharini, kamata kamata na uchuro mtupu was CCM
 
Hii ni aina ya biashara ambayo iliwahi kufanyika miaka mingi iliyopita ktk Mkoa wa Shinyanga ambapo Msukuma alibadilishana Almasi(Diamond) na nakupewa Guroli kwaajili ya kuchezea bao dhidi ya Mzungu huko Mwadui
 
Hahaha!
 
Nonsense. Hivi nyie mnadhani huyo Mungu ni wa kwenu tu? Ukitaka kumjua Mungu jinsi alivyo kwamba ni wa wote nenda kamuulize Farao siku ni kutaka huko mbinguni. Pharaoh has a very interesting tale to tell you
 
Lowasa hana cha kupoteza, kwanza amekula Chumvi nyingi(Umri umesonga), ameitumikia Ccm zaidi ya Miaka 40 ambapo ni zaidi ambavyo ataitumikia Chadema, ameshika Nyadhima muhimu na adhimu/Uwaziri/Uwaziri Mkuu, kwa ujumla ni Used & tired hivyo hakuna jipya analopambania ila anajaribu kama ataweza na kama hatashindwa si tatizo kwake hivyo hana commitment na sacrifice kwa anachopambania bahati mbaya akaungana na wa2 wenye dream na uchu wa kushika Dora, ila wenye mtizamo tofauti

Timu ya mpira usajili damu Changa sio Veteran hata kama uliwahi kuwa bora ktk ulimwengu wa Soka

Lowasa ni Veteran wa kisiasa kama alivyo Mugabe, mwai kibaki, kikwete
 
Bora mfanye hivyo vinginevyo nawahakikishia mtashindwa kila uchaguzi.....

Uchaguzi wa 2020 msitegemee kupata wabunge zaidi ya saba serious nawaambia...keep my words.

Sababu kubwa ni kwamba mlikosea sana mlipokubali kubadilishana Slaa kwa Lowasa.

CCM wajanja walipoona Lowasa hasafishiki wakawabadilishia nanyi mkakubali kumuacha Slaa aende.

Na Lowasa wakati wowote anarudi CCM, jiongezeni kumbukeni ya Mrema.

Huo ndiyo ukweli mchungu hata kama hamtaki!
Huu tunacheza nao kwa kuwa tasisi za kimataifa hazipo ila uchaguzi mku sio kama unavyofikiria mku dunia ina mulika tena inawezekana ndo utatuletea mstakabali wa nchi. Na chadema sio wepesi kama unavyofikiria kumbuka dola imefanya kazi kubwa sana kwa maslahi ya muda mfupi.
Sasa mwanachadema kujiunga na ss inawezekana tukampokea na Itikadi yake akabaki nayo hii itakuwa faida kwa nani zaidi wenye itikadi inayofanana naye
 
Wapinzani leo mtandaoni tunapumua hali yao mbaya baada ya kipigo cha bao 42 kwa 1 hayo ndiyo matokeo ya kukubali kuwa wanafiki Kwa watanzania, hatuna utani ukiteleza tu umeliwa

Mkuu mbona wapinzani tupo sana na wala hakuna lililotutisha kuhusu uchaguzi wa jana. Shida mnakimbia kwenye nyuzi tunazonyoosha maelezo mnakuja kuanzisha uzi mwingine mnachangia wenyewe tukitia timu mnatokomea. Uchaguzi wa jana ulikuwa na matokeo ya kumfurahisha rais hakuna zaidi ya hilo.
 
kwa tume hii inayoteuliwa na mwenyekiti wa chama ni ndoto.ccm inatumia vyombo vya dola ili kushinda uchaguzi...
 
Nonsense. Hivi nyie mnadhani huyo Mungu ni wa kwenu tu? Ukitaka kumjua Mungu jinsi alivyo kwamba ni wa wote nenda kamuulize Farao siku ni kutaka huko mbinguni. Pharaoh has a very interesting tale to tell you
Haya ni maneno ya mkosaji
 
Lowasa hana cha kupoteza, kwanza amekula Chumvi nyingi(Umri umesonga), ameitumikia Ccm zaidi ya Miaka 40 ambapo ni zaidi ambavyo ataitumikia Chadema, ameshika Nyadhima muhimu na adhimu/Uwaziri/Uwaziri Mkuu, kwa ujumla ni Used & tired hivyo hakuna jipya analopambania ila anajaribu kama ataweza na kama hatashindwa si tatizo kwake hivyo hana commitment na sacrifice kwa anachopambania bahati mbaya akaungana na wa2 wenye dream na uchu wa kushika Dora, ila wenye mtizamo tofauti

Timu ya mpira usajili damu Changa sio Veteran hata kama uliwahi kuwa bora ktk ulimwengu wa Soka

Lowasa ni Veteran wa kisiasa kama alivyo Mugabe, mwai kibaki, kikwete
Sijui kama wanaweza kukuelewa hapa
 
Back
Top Bottom