NAWASHANGAA Sana CHADEMA..!!

CDM hawakurupuki kama wanavyofanya wengine, CCM imeonyesha njia sijasikia Tendwa wala Mwema kukemea, leo CDM ina fanya waliofanya CCM, kelele zimeanza! Je wanacho ogopa ni nini? Senzo tulia kama ulivyokuwa umetulia mwanzo wenye akili watumie akili zao kufanya mambo!
 
duh, mamaa wamekakamaa kweli kama Banyamulenge!!! Kikwete ha hawa ni kina nani? tunaomba jibu kabla ya kurusha madongo kwa CDM.

Mwigulu ashakwambia wanakimbia mchaka mchaka na kujitolea kujenga na kufyatua tofali. Hebu waliopita nyanja mbali mbali watufafanulie aina hii ya mchaka mchaka.
 
umeeleka mkuu,sina cha kuongeza hata sisi vijana tulioko mtaani tunahitaji mafunzo kwa ajili ya kujilinda.
 
umeeleka mkuu,sina cha kuongeza hata sisi vijana tulioko mtaani tunahitaji mafunzo kwa ajili ya kujilinda.
HATA Mimi nimeanza mkakati wa kujilinda mwenyewe, na sharia za kumiliki silaha zipo wazi lazima tuzitumie. tena kwa nchi hii ambayo askari wana uroho wa pesa, wakiona kitu hela wewe sema chochote watakufanyia. UKISHANUNUA silaha yako mzinga au Tarmy au pale kwa wachina, haichukui hata wiki kukamilisha document za kumiliki kama facilitation money ipo. kama huna hela utahagaika miezi nane kila siku kila leo, mara unaambiwa kikao flan hakijakaa, mara koram haijatimia, mara makao makuu ya wilaya ya kipolisi hii yamehamia sehem flam, sababu mia, ila kama kitu sent kidogo zipo, vibali unavipata faster ukiwa na kijisimu tu. this is TZ. SHERIA ZINAKUTAKA usimiliki silaha za aina moja zaidi ya moja, so unajichanganyia ma ak hapo na full cartilages na walinzi wako watatu wanne hivi..
 
Magamba tumewakamata kwenye ma------ acheni kutapatapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…