Nawasalimia tu

Nawasalimia tu

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,316
Hamjambo?

attachment.php
 
Attachments

  • 1423717050641.jpg
    1423717050641.jpg
    81.5 KB · Views: 1,160
Yaani hii inaumiza sana, jana nimeangalia news, wakulima wanaandamana kwa amani kudai haki zao, eti polisi na bunduki na mabomu ya machozi wanakwenda kuwazuia!! Hii ni haki kweli? Kuna mzee mmoja aliongea kuwauliza maaskari kama ni haki wanavyofanya, yule mzee aliongea kwa uchungu sana, nilitokwa machozi sana. Hivi mbona wale wezi wa ESCROW wao hawakufanyiwa hivi? Hivi amani ya nchi yetu mbona serikali inaipoteza lakini? Hii nchi inakwenda wapi? Jamani 2015 tufanye kweli.:sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:
 
msipotuchagua sisi oktoba hali itakuwa hii kila siku .
 
Yaani hii inaumiza sana, jana nimeangalia news, wakulima wanaandamana kwa amani kudai haki zao, eti polisi na bunduki na mabomu ya machozi wanakwenda kuwazuia!! Hii ni haki kweli? Kuna mzee mmoja aliongea kuwauliza maaskari kama ni haki wanavyofanya, yule mzee aliongea kwa uchungu sana, nilitokwa machozi sana. Hivi mbona wale wezi wa ESCROW wao hawakufanyiwa hivi? Hivi amani ya nchi yetu mbona serikali inaipoteza lakini? Hii nchi inakwenda wapi? Jamani 2015 tufanye kweli.:sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad::sad:

Hao polisi ni Mali yetu sisi CCM tunaweza kuwatuma popote
 
Yani sometimes wantanzania ni kma manyumbu mbele ya simba japo sometimes nyumbu uwa wanakaza..yani watu watu wote hao wanavikimbia hivyo viaskari vitatu.??katagabao
 
Tujiandikishe tukapige kura, tulinde kura zetu,tuichague chadem
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom