Nawapongeza CHADEMA na Mbunge mstaafu Mh Selasini kwa kuipendezesha Rombo

Hahahaaaa.......!

Sasa Halima James Mdee kaiba nini hapo Ufipa mbona mmemfukuza?
Viwanda gani zaidi ya kile kiwanda cha saruji kipo tangu enzi za JK? Vipi kuhusu ukosefu wa maji safi na salama, barabara mbovu, ukosefu wa shule, mimba za utotoni etc? Huyajui yote hayo au tupange siku nikakutembeze?

Usijidai kuipotezea hoja yangu
 
Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.

Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama...
Development has no party!! Big Up Bwasheee!
 
Kabla hujaolewa mzee Halima si alikuwa anakusaga hahahaha
Na mtakunywa mbege mwaka huu.....ruzuku inakwenda Bawacha 19 account hahahaaaa...... hahahaaaa!

Chadema ni mali ya Halima Mdee by Mwita Waitara!

Bila ruzuku Ufipa wote mnaolewa na Halima James Mdee kiboko ya mangi Mtei!
 
Naona unamgombania mumeo Mzee Halima mwaka huu utauwana na mke mwenzio Bulaya
 
Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.

Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama

Hongereni mbunge mstaafu mh Selasini, CHADEMA na CCM.

Naendelea kuenjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio ( ungamo)

Mungu awabariki nyote!
Hongera kaka wewe umetambua role ya mbunge maana siku hizi kila jambo sifa zinamiminika kwa m/kiti tu
 
Mkuu yohana mbatizaji....jamaa etu aliambiwa na Kakobe atubu ikawa nongwa.

Amini nakuambia heri yako wewe uliyeamua kwa dhati ya moyo wako wala hukuona baya kufanya tendo hilo.

Naomba ukirudi pale mtaani Lumumba pale ujumbe kwa malaika mkuu.
 
Miongoni mwa mabasi yaliyokuwa yanawika miaka ile ya 80 ni pamoja na Rombo Investments bus.

Kiukweli nimeshuhudia mabadiliko makubwa hapa Rombo na huu ni uthibitisho kuwa maendeleo hayana vyama

Hongereni mbunge mstaafu Mh Selasini, CHADEMA na CCM.

Naendelea ku-enjoy sikukuu za mwisho wa mwaka jioni hii nitakuwa pale Kanisani kwa ajili ya kitubio (ungamo)

Mungu awabariki nyote!
Rudi kwenu Singida
 
Back
Top Bottom