tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,216
mafikizolo ndo ameniambia ivyoNa aliyekudanganya nabonyezea vidole ni nani?
mafikizolo ndo ameniambia ivyoNa aliyekudanganya nabonyezea vidole ni nani?
Ntakupa wewe tu usijali hanito wangu
mkuu chit chat na kupenda wap na wap!!! au ningesema nakupenda wewe, huna vigezo!!! Didnt xpect it from yuw
wadada wote wa MMU wazuri wazuri, wenye maneno matamu..... jamani nimekufa juu yenu, nawapenda wote!!!
Dedication: Mi na mabinti dam damu...
wewe peleka chitchat, hakuna cha kujifunza hapa
Usitupende wote tafadhal utalipishwa faini na waume zetu
mmmmnh
Usitupende wote tafadhal utalipishwa faini na waume zetu
Hao wanaume zako wapo wangapi?