Mafikizolo
JF-Expert Member
- May 8, 2014
- 3,487
- 1,628
Haya ngoja waja kukupa nyama ya ulimiiee sawa!!
hahaa hapo ndo nimefika... mnamaneno ya asali kwa kweli!!!
hahaa hapo ndo nimefika... mnamaneno ya asali kwa kweli!!!
Mie mwenyewe kwahapo newcomer hahahaha
wengine wake za watu na wanyama watakufilimba weye
wikend wapi miss chagga tukae kidogo kwenye viti virefu
GREAT SHOUTS kwa wadada wote wa jf who are loyal and dont go around opening their legs for any man...nawapenda zaidi
weekend home sina bajeti ya viti virefu kama umeniandalia hiyo bajet twende
ntavumilia tu... najua huwezi nyimwa vyote, unaweza kuwa na mguu wa bia au kiuno feni au shingo ya malingo
nakuja PM... usiku hua mrefu sana siku kama hizi, bora kukaa kikao kidogo
hahaha kama ni mwenyeji wa tanga naamini utakua unapajua chumvini, au kama ulishawai kusafiri kwenda mombasa via horohoro road icho kibao ndo kilipo
wadada wote wa MMU wazuri wazuri, wenye maneno matamu..... jamani nimekufa juu yenu, nawapenda wote!!!
Dedication: Mi na mabinti dam damu...
Unahitaji maombi ya Kakobe.... Gwajima lazima atachemka....
Hiyo chumvi ndo sodiam kloraid au ile inayotumiwa na wababa wachoyo wanaopenda kukesha kwenye pango kavu lenye chemchem?? Kuna siku lidume litafia pangoni kwa kukosa oksijen likiwa busy kutafuta chumvi asilia.... malaika watakuwa likizo.
Leo Mafikizolo hajakuCC kwenye hii yuziful sred... dalili ya wazi kabisa kuwa amehamishia kambi kwenye sukari.... chumvi na ilaaniwe na watu wote.

Peleka ujinga wako chit chat
sio kila siku ananiita, skunyingine najuaga alipo so me namfata mwenyewe 'mwenye meno aambiwi ng'ta'
sio kila siku ananiita, skunyingine najuaga alipo so me namfata mwenyewe 'mwenye meno aambiwi ng'ta'
Duuuh mzee waku zoom, usha zoom hadi huku na ukajua sija mshtua huyu mtu tabibumtaratibu