Nawapenda wote

Usimwambie wifi yako halafu usisahau kuutegesha ule mlango nisipate shida kuufungua ili wifi yako asisikie

yeuwiii pyaaa unasemaaaa?nakuhakikishia ndoa huna wewe. Utalala kwenye misumari
 
yeuwiii pyaaa unasemaaaa?nakuhakikishia ndoa huna wewe. Utalala kwenye misumari

Nimeshakuona unataka kuharibu hii ndoa hujui kama leo nitachelewa kutoka kazini sitaki nimsumbue wifi yako embu nitakuletea icecream sawa
 
Nimeshakuona unataka kuharibu hii ndoa hujui kama leo nitachelewa kutoka kazini sitaki nimsumbue wifi yako embu nitakuletea icecream sawa

mtumee,bado hujatoka kazini?ndo kazi unazofanya nini
 
Kausha wewe!! acha kujipendekeza. We unayejua hizo maana nyingi embu ziseme ......

Nimekuelewa mkuu ila hapo kwenye maana nyingi sijui kitu kabisa maana sikubahatika kupita kwenye mfumo rasmi wa elim.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…