Mtafika mahali mtasema mwanaume wa kisukuma mkristo ana care zaidi kuliko muislamu....
Ninachoamini ni kwamba kupenda na kujali hakumo kwenye kabila la mtu bali ndani yake yeye mwenyewe....
queeny,
Wasukuma wa wapi unaoongelea? Wa Geita,Mwanza,Shinyanga au wa Kishapu maeneo ya Isemelo,Buzinza,Mwamashimba,Mwabuzo karibu karibu na Meatu-ambao wanawake wanatumikishwa kwa mikokoteni,kulima mashamba,vijana wanawaacha wake zao watunzwe wao wanaishi maporini kuchunga ng'ombe?
I hope umekutana na msukuma wa mjini aliyeendelea,,nenda bush utafiti maisha ya kabila hili ambalo ni kubwa Tanzania
ndio maana unateseka kuwajua wasukuma kumbe unawazungumzia walioko na ambao wameshaelimika na kuutupa uasili wao wakaubeba uzungu na ujanja wa makabila mengne?wa geita sijui mwanza mi sielewi, n
amaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
wa geita sijui mwanza mi sielewi, namaanisha wa town, wa vijijini nawajulia wapi?
ndio maana unateseka kuwajua wasukuma kumbe unawazungumzia walioko na ambao wameshaelimika na kuutupa uasili wao wakaubeba uzungu na ujanja wa makabila mengne?