Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Above 25 na bado una hiyo tabia?Nimevuka 25 mkuu
Basi nenda kafanyiwe maombi.
Yesu anaweza yote
Above 25 na bado una hiyo tabia?Nimevuka 25 mkuu
Hawezi kukwazika kwa sababu kamanisha wanawake wote dunianiHapo kwa wanawake wote unatamani uwe nao kimapenzi kumbuka na mamako yuko ndani ya hao wanawake wote duniani samahani kama umekwazika
Noma sananakushauri anza na wake za watu.. tena usisubiri kupata hela.. nenda kawafanyie kule kule kwa waume zao!!!
wanawake wazuri sana...!

hahahahahah acha hizo anatupenda sote bhanaViroba vimepigwa marufuku ila kichwani kwako bado vinaishi
tupende tu bhana achana na hao wanaokuambia wewe ni chiziNipo sawa kabisa mkuu
anapenda vyote.Unapenda wanawake au unapenda k....
huyo demu wako mwambie awe na msimamo maana akikutana na boy na maupendo alonao utaumia mkuume nilidhani upendo wa kawaida kumbe wa kimapenzi,,aise we nikikukuta na demu wangu ntakupeleka kwa makonda
kashatusoma wewe kaushaMwambie huyo , mbona wivu sana
haswaa, i feel happy kusikia hivyo, wewe tupende tu achana na story nyingineHadi raha yaan
si ni kweli eeeeh
ooops ndo ushaanza? hahahahahah that is very nice.Sasa je !!!??? Njoo PM tuyajenge kabisa mamy
[/Uukweli kabisa jje'sRL]si ni kweli eeeeh
huyo demu wako mwambie awe na msimamo maana akikutana na boy na maupendo alonao utaumia mkuu