keikiu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 2,346
- 1,970
Hata kama mkuu, utapendaje wanawake wote? Hutokuwa binadamu bhasi, wale wa barabarani ndio hawachaguagi, na wewe upo kwenye kundi hilo?Hili ni jukwaa la mahusiano kama umepotea njia sema uelekezwe
Hata kama mkuu, utapendaje wanawake wote? Hutokuwa binadamu bhasi, wale wa barabarani ndio hawachaguagi, na wewe upo kwenye kundi hilo?Hili ni jukwaa la mahusiano kama umepotea njia sema uelekezwe
Na ukimwi unajua kuwa upo mkuu? Sio useme tu nawapenda wanawake.M ni binadamu kabisa mkuu" basi tu nawapenda wanawake
Tenaa sanaaaa
Shule ninayo tiari mkuu sema tu mambo bado hayajajiparudi shuleni kwanza kisha tafuta pesa kama mwendaazimu....baada ya hapo mrudie Mungu...kisha rudi uanze kuwapenda wanawake....wasaidie kwa kadri ya uwezo wako....walelee watoto wao wale walio wajane....kuwa baba kwa masingle mother wote naamini ufalme wa mbinguni utakuwa wako
Naona swali langu unalikimbia, unajua kuwa ngwengwe IPO?Vp miss inna
Enzi za mfalme Suleiman hakukuwa na ngwengwe, sasa wewe na azma yako hiyo unaweza hata usifikishe kumi ukaja kukuta umekamatika.M ni binadamu kabisa mkuu" basi tu nawapenda wanawake
Tenaa sanaaaa

Duuuh jina lako limenikumbusha mbali sanaHauna hormone na genes zao kweli wewe jamaa? Unapendaje kuwa karibu na wanawake kiasi hiko?
Wapi tena mkuuDuuuh jina lako limenikumbusha mbali sana
Tafuta mkwanja mkuu, ukiwa na mkwanja utachukua kila aina ya mwanamke, bila mkwanja utabaki kuwaangalia tu kwa machoKuwepo ukimwi hakunifanyi nisiwapende wanawake , na ukizingatia hata kama ukimwi usingekuepo nadhani tungekufa tu
Nawapenda sana wanawake
Ndg zangu wa dom wakisema kambaku wanakuwa wanamaanisha ng'ombe dume, kuu la bomaWapi tena mkuu