Nawapenda sana wanawake

Nawapenda sana wanawake

Huyu jamaa atakuwa mgonjwa!! Wataalamu msaidieni haraka kabla hajaharibikiwa.
 
Halafu tunalalamika nchi maskini aisee na wakati nguvu kazi ya Taifa inawaza wanawake tu.
 
Kupenda penda mwisho wa siku utapenda jini,balehe tu hizo.
Nyambaaaafuuu
 
me nilidhani upendo wa kawaida kumbe wa kimapenzi,,aise we nikikukuta na demu wangu ntakupeleka kwa makonda
 
Back
Top Bottom