Nawapa Zawadi Hii BAVICHA: Naomba Muipokee!

ChamaDola

JF-Expert Member
Dec 23, 2016
3,431
2,804
Watani Zangu wa Jadi,
Heri ya Mwaka Mpya!
Mungu Awajalie Afya na Fanaka!
Bila Nyie Jf Hainogi!
Bila Nyie ChamaDola Ningeboreka Humu!
Hakuna Simba Bila Yanga!
Hakuna CCM Bila CHADEMA!
Nawapenda Sana,Toka Katika Sakafu ya Moyo Wangu!
NB:
Naomba Muniombee,Kwani Nagombea Ndani ya Chama Mama Katika Uchaguzi wa Ndani 2017!
Ili Nitusue,Maombi Yenu ni Msaada Tosha!
Kidumu Chama cha Mapinduz!
Peoplees'....
 
1483366225439.jpg
 
Mi nashangazwa tu na hiyo pic yako.Hilo pandikizi la baba,fupifupi ambalo mwili wake umegawanywa ktk pingili imara(jitu la miraba minne)ni nani?au ndo yule aliefurushwa DRC...sasa hapo anafanya tukio gani?niishie hapa nisijeshitakiwa kwa kutoa lugha ya kuudhi...
 
Unamanisha timu bila mpinzani hainogi
haswaaa!
Hakuna Madrid bila Barca!
Hakuna Man Utd bila Arsenane!
Hakuna Kamanda bila Kada!
Hainogi!
CHADEMA ni chama pekee kinachoimiza kichwa CCM!
Na Ndio Maana Wamefuzu Cheo cha Utani wa Jadi!
Hawa ni Kioo Chetu,so Lazima Tuwaheshimu!
Bila Yao Hatuwezi Kujua Tumekosea Wapi na Tumepatia Wapi!
Politicsmeter yetu hii!
 
Mi nashangazwa tu na hiyo pic yako.Hilo pandikizi la baba,fupifupi ambalo mwili wake umegawanywa ktk pingili imara(jitu la miraba minne)ni nani?au ndo yule aliefurushwa DRC...sasa hapo anafanya tukio gani?niishie hapa nisijeshitakiwa kwa kutoa lugha ya kuudhi...
Huyo wa Miraba Minne ni Political Godfather wa Huyo Aliyekumbatiwa!
Na Aliyekumbatiwa ni Protegée wa Chinga!
Kuhusu ya Kongo,mi thijui!
Heri ya Mwaka Mpya,mkuu!
 
Huyo wa Miraba Minne ni Political Godfather wa Huyo Aliyekumbatiwa!
Na Aliyekumbatiwa ni Protegée wa Chinga!
Kuhusu ya Kongo,mi thijui!
Heri ya Mwaka Mpya,mkuu!

Hapo nimekupata mkuu.Ila amemkumbata kwa maguvu(nguvu) mno huyo sahibu yake.
 
Hapo nimekupata mkuu.Ila amemkumbata kwa maguvu(nguvu) mno huyo sahibu yake.
Ahaamini Kama Amefanikiwa Kumweka Kijana Wake Ikulu!
Ahaami Kama Amemzidi Ujanja Mtoto Wa Mjini, Yule Don Wa Msoga!
Kingmaker Ahaamini!
 
haswaaa!
Hakuna Madrid bila Barca!
Hakuna Man Utd bila Arsenane!
Hakuna Kamanda bila Kada!
Hainogi!
CHADEMA ni chama pekee kinachoimiza kichwa CCM!
Na Ndio Maana Wamefuzu Cheo cha Utani wa Jadi!
Hawa ni Kioo Chetu,so Lazima Tuwaheshimu!
Bila Yao Hatuwezi Kujua Tumekosea Wapi na Tumepatia Wapi!
Politicsmeter yetu hii!

Na kwa kweli wanajitahidi kutimiza majukumu yao. tunawapongeza, na waendelee hivyo hivyo kuwa chama cha upinzani. kamwe wasiwaze kushika Dola, maana sifa ya kushika dola itawachukua miaka 50 ijayo kuipata.
 
Back
Top Bottom