Nawaonea huruma wenye simu feki ifikapo July mwaka huu..

great G

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
290
290
Unaweza ukawa unamiliki simu ya gharama sana bila kujua ni feki...watu wana iphone 6 plus, samsung note, htc ambazo ni feki.Mimi siongei sana ikifika july ndio utajua kama simu yako ni feki au original.Kenya hakuna simu feki siku hizi na Tz pia very soon itakua hvyo.Stay tuned.
 
itachukua muda sana (kuanzia july) kwa simu hizo kutokomea
 
Hivi hizi simu hua zinapitia wapi? Serikali inatumia nguvu nyingi utafikiri kiwanda kiko Tandale... Wazuie importation ya hizo fake kwanza.
Kuanzia July hawatakua na haja ya kuzuia kutoka kwa importers hyo itafanyika kwenye grassroot level ambao ni final user wewe mwenyewe yaani.ukiuziwa simu feki haifanyi kazi...inakua kama toi tuu..ndio maana kenya hakuna simu feki.
 
nauliza tecno H7 ni feki?
Tukiongelea ufeki nadhani hata simu ya jamii ya Tecno ni feki ( maana kwenye inchi za dunia ya kwanza haziuzwi) lakini sina uhakika kama ufeki wa hili zuio linaziingiza na hizi Tecno phone. Lakini kitu nilicho na uhakika nacho ni kwa mfano ukipeleka simu kwa fundi anakwambia hii hai-flashi-ki ( kwa maana ya kuwa ktk mifumo ya software haipo) basi jamii hizo zote hazitasoma minara ifikapo july mosi.
 
Kuna tecno ambazo sio feki na ni zuri tu....kama unataka kujua kama simu yako ni feki au la Chukua IMEI namba(ambazo unazipata kwa kbonyeza *#06# kwenye simu yako) zitume kwenda namba15090 wakikurudishia IMEI hizo hizo basi ni original tofauti na hapo ni feki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom