swaki la jiti
Member
- Oct 6, 2017
- 97
- 60
Hivi tecno na sumsung ni hipi iko vizuri ktk chaji
Makampuni yote bado yanatoa.Tecno bado wanatoa simu za 3G? Kweli wamepitwa na wakati.
Makampuni yote bado yanatoa.
Nimenunua k9 INA ram ya 2gb kwa 270000# NATO ni bei kubwa!?thread ya pili hii, ile ya kwanza umeikimbia, hii simu ipo overpriced kwa kitu unachopata, tulishaizungumzia huko nyuma, kwa bei zaidi ya laki 2 simu yenye 1GB ram, bila 4G sidhani kama ni kitu kizuri.
hata kile kimeo cha samsung grand prime plus kina specs nzuri kuliko hii,
kama upo budget kama hii tafuta tu xiaomi redmi note 4A utapata ram 2GB angalau na wewe u enjoy android. utapata 4G, soc nzuri ya snapdragon 425, na tena unaweza ipata bei rahisi zaidi.
hiyo ni angalau, ila still inaachwa mbali na simu za xiaomi au Huawei (Honor series) za bei moja.Nimenunua k9 INA ram ya 2gb kwa 270000# NATO ni bei kubwa!?
Siwez kununua Huawei kwabsababubya battery. Tuwe was kweli mkuu, mm nikikuwa natumia Blackberry na Huawei ninapofanya kazi na nilikuwa ni mfanyakaz pekee ambaye naenda na chaja kazini wenzangu almost wrote walikuwa na Tecno walikuwa wanadunda tu. Niliamua kuja Tecno week moja iliyopita naona naenjoy tu. Kwa iyo naona kuchukia Tecno inaweza kuwa stereotype tu.hiyo ni angalau, ila still inaachwa mbali na simu za xiaomi au Huawei (Honor series) za bei moja.
Siwez kununua Huawei kwabsababubya battery. Tuwe was kweli mkuu, mm nikikuwa natumia Blackberry na Huawei ninapofanya kazi na nilikuwa ni mfanyakaz pekee ambaye naenda na chaja kazini wenzangu almost wrote walikuwa na Tecno walikuwa wanadunda tu. Niliamua kuja Tecno week moja iliyopita naona naenjoy tu. Kwa iyo naona kuchukia Tecno inaweza kuwa stereotype tu.
hakuna mahusiano baina ya brand name na kukaa na chaji,Siwez kununua Huawei kwabsababubya battery. Tuwe was kweli mkuu, mm nikikuwa natumia Blackberry na Huawei ninapofanya kazi na nilikuwa ni mfanyakaz pekee ambaye naenda na chaja kazini wenzangu almost wrote walikuwa na Tecno walikuwa wanadunda tu. Niliamua kuja Tecno week moja iliyopita naona naenjoy tu. Kwa iyo naona kuchukia Tecno inaweza kuwa stereotype tu.
Xiaomi zina bei gani mjini?Usiiweke Xiaomi kwenye kundi moja na Tecno, Xiaomi ni ya kuweka kundi moja na iPhone, Samsung, LG, Hiawei.
Xiaomi zina bei gani mjini?